Miaka ya 1970, Korea Kaskazini waliagiza Magari aina ya ya Volvo 1,000 toka nchini Sweden, ambapo magari hayo yakasafirishwa na kukabidhiwa.

Cha kushangaza Korea Kaskazini walikataa risiti za malipo ya magari hayo na wakakataa kulipa kabisa.

Mpaka leo Korea Kaskazini wana deni la Dola Milioni mia tatu na thelathini ($330Millions) Sweden fedha ambazo ni sawa na zaidi ya bilioni 774 za Tanzania kwa ajili ya Magari hayo.

Na wameweka rekodi katika historia ya kufanya wizi mkubwa zaidi wa magari kuwahi kuwahi kutokea Ulimwenguni!

Mtu mtata anapotaka kufanya biashara nawe muombe alipie kabisa, utamdai vipi mtu mtata mwenye mabomu ya Nyuklia? Utakamataje mali zake?

Aishi Manula achafua hali ya hewa Simba SC
Young Africans yachukua tahadhari Nigeria