Je, unazifahamu biashara zinazofanywa na watu wachache zaidi hapa duniani?, ni biashara za kipekee ambazo sio rahisi kwa mtu kufikiria fursa hizo.

Basi pata kuzifahamu biashara hizo kupitia kipindi cha Zaidi, kipindi ambacho kinakuletea rekodi zilizovunjwa hapa duniani.

Lakini biashara hizi unaambiwa ni biashara zinazoingiza pesa ndefu sana ambayo hata muajiriwa wa kawaida hawezi kuingiza kiasi hiko cha pesa.

Tazama hapa chini ujifunze kitu.

Iwe kwa kutumwa au makusudi Ushoga ni mwiko Tanzania- Kangi Lugola
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 10, 2018

Comments

comments