Ndugai atoboa siri Maalim Seif kukwama, Mkemia Mkuu kitanzini, ahojiwa kwa siku mbili mfululizo na Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Lissu aachiwa baada ya kusota polisi siku mbili, JPM aipa rungu jipya Takukuru…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 25, 2017. Tazama video

Uchawi unaofanywa na wanawake Tanga kuwashika waume zao, Siri yafichuka hadharani (Sehemu ya kwanza)

Wakazi wa Jiji la Dar vinara wa lugha chafu
MPLA watamba kushinda uchaguzi mkuu Angola