Pigo zito TFF, Simba, Tuhuma za upigaji mamilioni zawapeleka gereza la Keko kina Malinzi, Mwesigwa, Aveva na Kaburu, TAKUKURU yasisitiza na bado, kazi ndo inaanza, Miswada ya ‘ncha kali’ yatua bungeni, Chadema yabeba mzigo wa Lowassa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 30, 2017.

?LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 30, 2017
Video: Ujerumani yaichakaza Mexico 4-1 kombe la mabara