Wabunge upinzani waishukia polisi, wasusia bunge, watoka bungeni wakipinga Lema kuzuiwa kuuliza swali, Familia yalilia haki za mbunge, wasema hawataacha kupigania haki ya ndugu yao, Mvua ikinyesha Dar mambo ni yaleyale…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 5, 2018.

Klabu ya Yanga yawatoa hofu mashabiki kuhusu kuwatema nyota wake
Manara: Kwangu mimi Ajibu ni kipaji maridhawa kilicho hai nchini