Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja kufuatia mwaliko kutoka kwa Rais Magufuli. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Ikulu.

Zitto: Nina wasiwasi na uwezo wa wawakilishi wa 'EALA' kutoka Chadema
?LIVE IKULU: Hotuba ya Rais Dkt. Magufuli na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ikulu Dar es salaam