Mamlaka ya usimamizi wa Anga Nchini – TCAA, imelifutia shirika la ndege la kenya kibali cha kufanya shughuli zake nchini kuanzia Januari 22, 2024.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi mkuu wa TCAA, Hamza Johari imeeleza kuwa mamlaka hiyo imefikia uamuzi huo kama mrejesho wa nchi ya Kenya kuinyima kibali Tanzania kusafirisha mizigo kwa njia ya Anga kutokea nchini humo kwenda maeneo mbalimbali Duniani.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Januari 16, 2024
Taasisi za Kisheria zitoe huduma bure kwa Wananchi - Chana