Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting), Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo tarehe Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi za Bunge la Norway (Storting), Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting), Svein Harberg mara baada ya mazungumzo katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi za Bunge la Norway (Storting), Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika eneo la Mnara wa Kumbukumbu wa Taifa, Oslo nchini Norway Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Norway (Storting) Svein Harberg katika Ofisi za Bunge hilo Jijini Oslo Februari 13, 2024.

Wakuu wa Mikoa, Wilaya wameshindwa kazi - Mbunge  
TAWTO yaunga juhudi za Polisi kupinga ukatili