Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa, Mabadiliko yaliy8fanywa na Fais Samia ni sehemu ya kuboresha utendaji kazi wa Serikali.

 

 

 

 

 

Wajadili nafasi ya Vyombo vya Habari, huduma za jamii
Ifahamu mbinu ya kudhibiti ushirikina katika biashara yako