waum Katambo – Katavi.

Sheikh wa Mkoa wa Katavi, Mashaka Kakulukulu amempongeza Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Aboubakary Bin Zubeir kwa kuzindundua kitabu chake alichokipa jina la Mmomonyoko wa Maadili; Nani Alaumiwe.

Sheikh Kakulukulu ameeleza kuwa kuzinduliwa kwa kitabu hicho kunatoa nafasi ya viongozi mbalimbali wa dini kukirejea mara zote wanapokuwa wanakemea vitendo vya mmomonyoko wa maadili.

Amesema suala la mmomonyoko wa maadili ni jambo mtambuka hivyo kila mmoja katika jamii anapaswa kukemea

Katika hatua nyingine Mhadhiri Dkt. Sulle akiwa katika moja ya mihadhara Mkoani Katavi ameiomba Serikali kutunga sheria itakayosimamia masuala ya maadili na malezi.

Utiriri wa ushuru: Wafanyabiashara watishia kufunga Viwanda
CCM kuwasomesha Madereva wa daladala zaidi ya 200