Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 7, 2025 ameshiriki katika matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), jijini Dar es Salaam.

Viongozi wengine walioshiriki matembezi hayo ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Omari Kipanga na watendaji wengine wa Wizara ya Elimu pamoja nawa Taasisi ya Elimu Tanzania.

RC Macha awataka Wanawake kujiinua kiuchumi
Tutaendelea kuengeneza sera rafiki kuvutia Wawekezaji sekta ya Mauta na Gesi asilia - Shirima