Video: Mkuu wa Mkoa Kagera awasha moto kwa watendaji wa vijiji
5 years agoComments Off on Video: Mkuu wa Mkoa Kagera awasha moto kwa watendaji wa vijiji
Mkuu wa mkoa Kagera, Brigedia Marco Elisha, amewataka watendaji wa vijiji na kata kukusanya mapato ya Serikali kwa ukamilifu na kuhakikisha yanafika panapohusika ili yaweze kusaidia halmashauri kukamilisha miundombinu yake katika jamii ipasavyo…, Bofya hapa kutazama.