Membe avuruga Serikali, CCM, JPM amedhamiria kweli, Mvua zazidi kuleta maafa, Bilioni 124 zatafunwa ushirika, wasio na kitambulisho cha taifa wana kazi, Aga khan kutibu kiharusi bure, Jafo aonya wataalamu wa elimu kuua ndoto za wanafunzi…,Bofya hapa kujua Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumapili Oktoba 27, 2019.