Habari Kuvaa barakoa amri Hospitali ya Taifa Muhimbili 4 years ago Hospitali ya Taifa Muhimbili imetangaza sharti la kuvaa barakoa kwa wagonjwa, wafanyakazi na wanachi kwa ujumla katika eneo la hospitali hiyo ikiwa ni njia ya kuendelea kujikinga na janga la Corona. Diamond, Zari kuonekana Netflix Kibwana Shomari atuma salam DR Congo