Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Samia Suluhu Hassan amehitimisha mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2022, ambazo zimefikia kilele chake Wilayani Bukoba Mkoani Kagera.

Samia amehitimisha mbio hizo baada ya kupokea mwenge huo wa uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Kitaifa, Sahil Geraruma kwenye uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba, Mkoani Kagera hii leo Oktoba 14, 2022.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Octoba 15, 2022      
Udhibiti wa mipaka kusaidia mapambano ya Ebola