Ubalozi wa Tanzania Nchini China, umesema Kampuni ya Kichina inayotengeneza Mabasi ya Yutong inatarajia kufungua Karakana yake jijini Dar es salaam, ili kutoa huduma kwa ufanisi.

Taarifa hiyo, imetolewa hii leo Machi 10, 2023 Jijini Beijing wakati wa mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Africa.

Basi aina ya Yutong.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa,, Karakana hiyo inatarajia kuwa na ukubwa wa kutosheleza kuwahudumia Wateja wa mabasi ya Yutong katika nchi za Afrika Mashariki.

Serikali kuimarisha mazingira wezeshi kibiashara: Dkt. Mwinyi
Polisi Chuo cha Taaluma wawafariji mahabusu Gereza la Segerea