Ujenzi wa Daraja la John P. Magufuli la Kigongo-Busisi lenye urefu wa kilometa 3 linalokatisha kwenye Ziwa Victoria umefikia asilimia 70.

Kikao cha Utawala ujenzi wa Daraja Kigogo – Busisi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na chanzo kimoja kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook imeeleza kuwa, watendaji wamekuwa wakifuraha kuendelea kufanya kazi ili kufikia malengo.

Wakandarasi na watendaji wa ujenzi wa Daraja hilo.

Daraja hilo ni refu zaidi nchini na linachukuliwa kama alama kubwa kwa nchi ya Tanzania na Mkoa wa Mwanza na kukamilika kwake kutafanya liwe ni Daraja refu zaidi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na la sita kwa urefu barani Africa.

Uharibifu wa Wanyama pori: Chongolo ataka mfuko wa fidia
Takwimu: Wasichana 8,000 wapata ujauzito Mtwara