Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Watanzania wanaoishi nchini Namibia (Diaspora) katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek, nchini Namibia.

Rais Samia amezengumza naWatanzania hao mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika, na Nchi Zinazochangia Vikosi vya Jeshi vya Force International Brigade (FIB).

Waziri Jafo akagua miradi ya kukabili mabadiliko tabianchi
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Mei 10, 2023