Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali Zanzibar kuadhimisha Maulid ya Mfungo sita 1445 Hijria sawa na 2023 Miladia sherehe tukufu ya kuzaliwa na kumuenzi Mtume Muhammad S.A.W.

Sherehe hizo, zilifanyika uwanja wa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi usiku wa Septemba 27, 2023 na zifuatazo ni Picha za baadhi ya matukio ya kumbukumbu, wakati wa sherehe hizo za kila mwaka.

Kocha Chelsea atuliza presha Stamford Bridge
Mabeki Young Africans wachimbwa mkwara