Harakati za utafutaji wa riziki huwa haziangalii ni njia gani unapitia kikubwa unapambania Maisha yako endelea kupambana, huenda ukawa milionea kama mwamba aliyeshinda Tsh Milioni 60,000,000/= za Meridianbet kasino ya Mtandaoni.

Maneno kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga Tsh 60,000,000/=, huyu jamaa yeye hucheza kasino ya mtandaoni lakini alivyojua kuhusu mchezo huu alianza kucheza mara kwa mara.

Huenda ukawa unajiuliza mwamba alipigaje mkwanja huu mrefu, ila ni rahisi sana alichokifanya ni kuweka dau lake dogo tu kisha akabonyeza kitufe cha kurusha ndege ya Aviator, alisubiri mpaka ndege ya Aviator ilipofika kwenye odds ya 200 aka-Cash Out. Aliendelea kufanya hivi mara tatu mfululizo ambapo kila raundi alikuwa akishinda Tsh 20,000,000/=

Kasino ya mtandaoni Meridianbet ina michezo mingi ambayo yote inakupa nafasi ya kushinda pesa na kuwa Milionea ukiachana na sloti ya Aviator kuna Poker/Karata, Roulette, Blackjack, Titan Dice na mingine mingi inakupa nafasi kuwa Tajiri bila mateso.

Kitu kingine kikubwa kutoka Meridianbet wanakupa ofa ya mizunguko 50 ya bure kwa mteja atakayejisajili na Meridianbet, mizunguko hii itakuwezesha kucheza sloti uzitakazo za kasino ya mtandaoni, Cheza hapa.

Kuna michezo mingi ya Kasino ya mtandaoni ila kuna Aviator hii ni moja ya sloti rahisi kucheza na kushinda pesa kama ambavyo mshindi Tsh milioni 60,000,000/= alivyopiga kwa dau dogo sana.

Cheza kasino ya mtandaoni hapa: www.meridianbet.co.tz

TAMISEMI yakanusha taarifa za kujiuzuru kwa Dkt. Dugange
Mafuriko DRC: Idadi ya vifo yafikia zaidi ya watu 500