Serikali imeshauriwa kuweka kuweka ruzuku na kuondoa tozo katika mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini ili kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta.

Wabunge wa Tanzania wameyasema hayo leo Mei 5, 2022 wakati wakichangia hoja ya kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa iliyotolewa na Mbunge wa Kilindi (CCM), Omary Kigua.

Mzumbe yatakiwa kufungua milango ya ushirikiano wa kimataifa
Ahmed Ally: Tutapambana hadi mwisho