Rick Ross amemvaa Boss mwenzake wa Cash Money, Birdman akimpa makavu kuhusu kumalizika kwa bifu kati yake (Birdman) na Lil Wayne.

Rick Ross ameachia Snapchat video akimchana Birdman kwa kumrudisha kundini Lil Wayne baada ya kuwa na ugomvi wa siku nyingi. Awali, Rick Ross alimchana Birdman kwenye album yake ya Black Market.

“Them ni**as kiss and they made up,” anasikika Birdman. ““Fuck ni**as wanna hit me / F*ck, ni**a, come get me / Pus*y ni**as ain’t with me.” Rick Ross alitema cheche.

Rosay pia alimringishia dili jipya alilopata la kufanya kazi na Epic Records.

Naye Birdman akiwa katika katika jukwaa la club ya usiku ya LIV jumamosi iliyopita, alimchana Rick Ross na kuchochea zaidi bifu kati yao.

Dk. Ndalichako aagiza NECTA kurudisha mfumo wa 'Division'
Ndanda FC Watakata Nyumbani