Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameongoza kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli nchini.

Kikao hicho,  kimefanyika hii leo Septemba 11, 2023 Jijini Dodoma na kilihudhuriwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu  Nchemba, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba, Watendaji kutoka Wizara ya Nishati,  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania – TPDC.

Wengine ni watendaji toka Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli – PURA, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji -EWURA pamoja na  Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja – PBPA.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Septemba 12, 2023
Sare yamchukiza Gareth Southgate