Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mwendwa Judith Malecela amejiuzuru wadhifa wake huo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia ombi la Jaji huyo la kutaka kuachia ngazi.

Aidha, katika taarifa iliyotolewa na Ikulu mapema hii leo imesema kuwa Rais Dkt. Magufuli amekubaliana na Jaji huyo hivyo kuanzia leo Judith Malecela hatakuwa tena Jaji wa Mahakama Kuu.

Hata hivyo, Jaji huyo ameitumikia Serikali kwa muda mrefu hivyo Rais amekubaliana na ombi lake hilo la kuachia ngazi katika nafasi hiyo ya juu katika Mahakama Kuu

Mourinho atuhumiwa kukwepa kodi Uhispania
Kambi Ya Timu Ya Taifa Ya Ngumi Bado Kizungumkuti