![](https://dar24.com/wp-content/uploads/2017/10/magufuli-ofisini-1140x630.jpg)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemfuta kazi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kilimanjaro Airports Development Company (KADCO), Balozi Hassan O Gumbo Kibelloh.
Kufuatia utenguzi huo, Rais Magufuli amemteua Gregory George Teu kuwa mwenyekiti wa Bodi hiyo ya (KADCO).