Siku mbili baada ya kumpata mtoto wao wa pili, Kanye West na Kim Kardashian wametangaza jina la mtoto wao.

Kupitia Twitter, Kim Kardashian ametaja jina la mwanae huyo wa kiume aliyezaliwa Disemba 5 mwaka huu kuwa ni ‘Saint West’.

“To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds, 1 ounce,”  ameandika Kim Kardashian.

Jina hilo tayari lilikuwa limeshatabiriwa na baadhi ya mashabiki wa wawili hao kupitia mitandao ya Twitter. Hivyo, hivi sasa Kanye West na Kim Kardashian wana watoto wawili ambao ni ‘North West (msichana)’ na ‘Saint West (Mvulana)’.

Kim na Kanye W

 

Mnyika Aibukia Sakata la Bandari, Asema Dawa Jipu Sio Kulitumbua
Ndoa Ya Yanga Na Andrey Coutinho Yavunjika Rasmi