Wasichana wachache katika maisha yao huvuta sigara, hali inayoshangaza kwani mara nyingi wanaovuta sigara kwa wingi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta sigara hawezi kuvuta kwa wakati mrefu sana, kuna kipindi lazima ataacha tu.

Baada ya kumuuliza jina lake alijitambulisha anaitwa Fetty wa Kericho nchini Kenya, anasema, “nikiwa na umri wa miaka 17 wakati namalizia shule ya pili, nilianza kuvuta sigara kufuatia kundi la marafiki niliokuwa nao, wengi walikuwa wakivuta.”

Fetty anasimulia kuwa, “hata nilipomaliza shule niliendelea na mtindo huo wa kuvuta sigari ingawa ilikuwa kwa siri sana, hata nyumbani kwetu hakuna aliyeweza kujua, hata ndugu zangu hakuweza kujua.”

“Nilipofikisha umri wa miaka 23 nilikuwa na Boyfriend wangu ambaye tulipenda sana, aliahidi kunioa maana alivutia na mimi, alifikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwetu, nami
akanipeleka nyumbani kwao.” anaseimulia Fetty.

Ameendelea kuwa, “wakati imebakia miezi kadhaa tuweze kufunga ndoa, siku moja alikuta sigara katika pochi yangu, aliniuliza ni za nani, nilijitetea kuwa ni za rafiki yangu na akaniambia amekuwa na wasiwasi kuwa mimi huvuta sigara maana kila ambapo angenibusu angesikia harufu hiyo lakini hakuweza kufikiria kama naweza kufanya jambo kama hilo.”

“Nilimbishia kuwa sivuti sigara, basi alinichukua hadi Maabara, nikapimwa na kugundulika ni kweli ninavuta Sigara, na tangu siku hiyo mahusiano yakavunjika. niliumia sana, nililia sana, hali hiyo ilinifanya niendelee kuvuta sigara sana nikiamini kuwa ndio njia pekee ya kuondoa mawazo,” anasema Fetty.

Ilifikia hatua nikachoka hali hiyo, ndipo nikaanza kutafuta njia ya kuacha sigara, nashukuru niliweza kupata tiba kutoka kwa Dr. Kiwanga, tangu wakati huo niliweza kuacha moja kwa moja kuvuta Sigara hapa siwezi kumsahau rafiki yangu Leah ambaye ndiye alinipatia namba za Dr Kiwanga ambazo ni +254 769404965, hakika hapo ndipo changamoto yangu iliweza kupata utatuzi.

Hata hivyo, Fetty anasema “kwa sasa mimi ni msichana mzuri tu ambaye sivuti sigara na sasa ninaendesha maisha yangu vizuri bila ya tabu yoyote ile namshukuru sana rafiki yangu na Dkt. Kiwanga.

Tuhuma za ufisadi: Waziri Mkuu wa zamani akamatwa
Robertinho anavyoumiza kichwa Simba SC