Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ripoti ya Kamati mbili zilizoundwa na Bunge kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi.

Bofya hapa kutazama muda huu

Kijana aliyeteka watoto Arusha afariki dunia
Ripoti ya Tanzanite, Almas yawatafuna Mawaziri