Tazama hapa moja kwa moja kutoka Mkoani Ruvuma, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kuchakata mahindi katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Mlale mkoani humo.

Tazama hapa.

Waziri wa Usalama wa Ndani Marekani ajiuzulu
Video: Watakao andamana Dodoma watapigwa watachakaa - RPC Muroto