LIVE RUVUMA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Kongamano la Viwanda na Uwekezaji
6 years agoComments Off on LIVE RUVUMA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Kongamano la Viwanda na Uwekezaji
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Songea mkoani Ruvuma, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Kongamano la Uwekezaji na Biashara.