Tazama hapa moja kwa moja muda huu kutoka mkoani Kagera, ziara ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza nchini Tanzania.

Rais Nkurunzinza anawasili nchini Tanzania kwa ziara ya Kiserikali ambapo mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Kagera kumpokea Rais huyo. Tazama hapa

Lowassa kitanzini tena, atinga kwa DCI kuhojiwa
Mali za Rais wa zamani wa Brazil zataifishwa