Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa na uhamisho wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Makatibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa uteuzi wa na uhamisho wa Viongozi hao umeanza ramsi Desemba 12, 2023.

Watoto wasipokelewe Nyumba za wageni - Elias
Mil. 47 za Jimbo kukamilisha miradi ya maendeleo Mpanda