Jina la tajiri muuza madawa ya kulevya wa Mexico, Joaquin ‘El Chapo’ Guzman limekuwa mada kubwa kwenye mijadala ya dunia baada ya matukio yake ya kutoroka mara mbili jela yenye ulinzi mkali.

Serikali ya Mexico imetangaza dau la $ 5,000,000 kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa kwa El Chapo.

Rappers wa Marekani wamelitumia jina hilo kufanya wimbo wakijifananisha na ‘El Chapo’ mwenyewe. Casino amewapa shavu Young Scooter na Future kwenye wimbo wa ‘El Chapo’ na wote wamevaa uhusika bubu wa mhalifu huyo anaesakwa na serikali ya Mexico kuliko mtu yoyote.

Usikilize hapa:

Mzee Yusuf Apanga Kuacha Muziki Ili Afanye Siasa
Wingu Zito Latanda Kwa Eden Dzeko