Johansen Buberwa Bukoba – Kagera.

Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru kwa Mkoa wa Kagera yamehitimishwa kwa kwa kufungua Mashindano ya Mitumbwi na uogeleaji kwa Wanawake na Wanaume.

Mashindano hayo, yaliratibiwa na Mamlaka ya Bandari Nchini – TPA, kwa kushirikiana na COP Kanda ya Ziwa Victoria Manispaa ya Bukoba kama inavyoonekata katila Picha hapo chini.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Desemba 10, 2023
Dira ni muhimu kwa mipango, maendeleo ya Taifa