Muigizaji wa kike wa ‘The Vampire Diaries’, Kayla Ewell, jana amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Tanner Novlan.

Wawili hao walikula kiapo mbele ya watu wao wa karibu zaidi ya 200 waliohudhuria katika Jonathan Club, Los Angeles, Marekani. Waigizaji wenzake wa ‘The Vampire Diaries’ walikuwa miongoni mwa walioshuhudia tukio hilo.

Ewell nan a Taaner walikutana kwa mara ya kwanza miaka mitano iliyopita nchini Autralia katika tukio la kushuti video ya wimbo wa bendi ya Sick Puppies. Walichumbiana miezi tisa iliyopita, na jana walifanikisha ndoto yao.

Amani Karume Achukizwa Na Lugha Za Matusi Kwenye Kampeni Ya CCM
Magufuli Kuwaneemesha Wafanyakazi