Afisa Mazingira Mkuu wa Baraza la Uhifadhi Mazingira (NEMC) Bw. Jafari Chimgege akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa tathmini ya athari kwa mazingira. Kulia ni Afisa Mazingira Mwandamizi,  Bw. Aziz Abbu na kushoto ni Afisa Mazingira Mkuu, Bw. Anold Kisiraga.

Serikali Yaimarisha Udhibiti Wa shughuli Za Uchimbaji Madini
Serikali Yapokea Msaada Wa Madawati 300 Kutoka Ubalozi Wa Kuwait