Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limesiitisha wito wake lililoutoa jana wa kumtaka mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu na kumtaka aendelee na ratiba zake za kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu.

Simba waweka wazi sababu za kutumia basi safari ya Dodoma
Trump na mke wake waambukizwa Corona