Rais Samia akutana na mwana wa kifalme wa Saudi Arabia
4 years ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mwana wa Kifalme Faisal bin Farhan Al Saud na kufanya mazungumo ya kuendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.