Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, Ikulu Jijini Lilongwe Malawi.

Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi Kayola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na zifuatazo ni baadhi ya picha katika utambulisho huo.

Madini yapaisha mauzo ya bidhaa nje ya nchi
Sandro Tonali kucheza England 2023/24