Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo Namba 64 utakaoyakutanisha Manguli ya Soka la Tanzania Simba SC na Young Africans.

Taarifa iliyotolewa katika Mitandao ya Kijamii ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ imeonyesha Kayoko atawasidiwa na Mohamed Mkono(Tanga), Janeth Balama (Iringa) na Mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii (Dar es salaam).

TAWA yaendelea kuinua miradi ya kimaendeleo
'Ngumbaru' kusaidia harakati huduma za jamii