Rihanna amekamilisha upishi wa albam yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake, album ambayo ilikumbwa na mikasa mingi ikiwa studio, ANTI.

Mapema jana, Rihanna alipost kupitia Twitter, picha yake akiwa amevaa headphones za dhahabu na kueleza kuwa alikuwa anasikiliza Albam yake hiyo.

“listening to ANTI *red balloon emoji*” Here, see for yourself”

Rihanna

Hii ni albam ya nane rasmi kutoka studio ya Rihanna, na inatarajiwa kufuatiwa na ziara ya dunia aliyoipa jina la ‘ANTI Word Tour’, itakayoanza mapema Februari.

Lukuvi Atumbua Ghorofa refu jijini Dar es Salaam
Bunge kuanza mchakamchaka leo, haya ni mambo 7 yatakayowasha moto