Mwimbaji wa muziki Ruby ambae alilelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika mashindano ya Fiesta Diva supa nyota miaka kadhaa iliyopita amejikuta katika ugomvi wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya kushindwa kufikia muafakawa malipo katika Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa.

Ruby kwa sasa inaonekana amekimbilia kwa washindani wa Clouds FM ambao ni EFM Radio, Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa jijini Dar es Salaam wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika matamasha yao ya Mziki Mnene Sehemu mbali mbali za jiji la Dar es salaam.

Changamoto Nyingine Yajitoza,Wanafunzi 10,273 shule za msingi hawajui kusoma
Waziri Mkuu: Sekta Binafsi Ni Muhimu Katika Ujenzi Wa Uchumi