Mwanasiasa nguli na kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tambwe Hizza, amefariki dunia leo asubuhii. Kwa mujibu wa msemaji wa @ChademaMedia Tumain Makene, Bwana Hizza alifariki nyumbani kwake akiwa amelala.

Mashua mbili zazama na kuua watu
Sallam wa WCB amvaa rasmi Ruge