Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Februari 9, 2017 amezungumza kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya mkuu wa mkoa wa dar ves salaam, Paul Makonda.

Gwajima amejibu tuhuma hizo mbele ya waandishi wa habari kanisani kwake Ubungo jijini Dar es salaam ambapo amekanusha kuhusika aidha kwa kuuza au kutumia madawa ya kulevya na kueleza kuwa ametajwa kwa nia ya kuchafuliwa jina lake. Bofya hapa kutazama video

Video: Kama yalikupita maneno ya Yusuph Manji baada ya kutajwa tuhuma madawa ya kulevya

Mbarawa ateua timu ujenzi terminal III, atumbua mmoja
CAG kuchunguza shirika la Ndege Tanzania ATCL