Mbunge wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amekitaka chama cha Mapinduzi CCM kumdhibiti mwanachama wao ambaye ni Rais John Pombe Magufuli. Zitto amesema hayo katika ofisi za Chama hicho zilizopo Kijitonyama.

‘Chama cha Mapinduzi kimdhibiti Mwanachama wao, kisipomdhibiti wataingiza nchi hii pabaya’ – Zitto Kabwe

Video: Zitto aitaka CCM imdhibiti Magufuli
Video: Ahadi ya Makamu wa Rais kuhusu ujenzi wa barabara Tunduru imefika Bungeni