Dimpoz ni vishimo vidogo vinavyopatikana kwenye mashavu ya mtu wakati akicheka, tabasamu au kuongea.
Mnamo mwaka 1936 mwanadada aliyefahamika kwa jina la Isabela Gilbert huko New York aligundua mashine maalumu kwa ajili ya kutengeneza Dimpoz kwenye mashavu.
Na Dimpoz ni kiashiria cha urembo na uzuri .
Kutokana na Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Ohio na Oklahoma huko nchini Canada kwa wadada wenye dimpoz kimegundua mambo yafuatayo juu yao.
- Utafiti umebainisha kuwa wadada wenye dimpoz si aina nzuri ya kuoa yaani wadada hawa si ‘Wife Material’ kutokana kwamba hawatulii kwenye mahusiano na huongoza kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, lakini pia si wazuri kutunza ndoa zao.
- Lakini wadada hawa wanasifika kwa kupika chakula kitamu licha ya kwamba hawana sifa za kuolewa.
Tazama Video hapa chini kufahamu tabia nyingine za wadada wenye dimpoz, mwanya, komwe, wenye makalio makubwa na Wanaotumia mkono wa kushoto.