Video: IGP Sirro amtangazia kiama Mange Kimambi, Siri ya Prof. Kitilia kubwaga manyanga ACT-Wazalendo
7 years ago
IGP Sirro amtangazia kiama Mange Kimambi, Kibano madini, mafuta chapaisha mapato TRA, Utata waibuka kukutwa paja, fuvu la binadamu, Siri ya Prof. Kitilia kubwaga manyanga ACT-Wazalendo…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 11, 2017. Tazama video