Kuanzia mwaka 2013 Manispaa ya Ilala kupitia kituo cha One Stop Centre na ofisi za ustawi wa jamii hadi March mwaka huu 2016 Jumla ya watoto 1213 walipatikana na kupewa huduma baada ya kufanyiwa vitendo tofauti  vya ukatili, kati ya hao 863 ni matukio ya ukatili yaliyopokelewa One Stop Centre-Amana Referal Hospital.

ubakaji na ulawiti wa watoto vinaepukika chukua hatua kumlinda mtoto ni kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya mtoto Afrika ambayo huadhimishwa June 16 kila mwaka

Hii hapa Ripoti kutoka Ilala

Model wa video ya Nuh Mziwanda amvimbia Shilole
Video: Wabunge wavaa roho mbaya. Ni vita ya polisi, Zitto. Mkapa ajuta - Magazeti Juni 16 2016