Lissu awaibua Nape, Ridhiwani, wasema wamefurahi kuona tabasamu lake, Zitto Kabwe amwandikia waraka mzito, Sakata la Makinikia: Wamebana wameachia, Barrick waonyesha uungwana, walipa sh. bilioni 700/-, JPM ataka fedha hizo zikatumike kwenye miradi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 20, 2017. Tazama video
