Lissu awaibua Nape, Ridhiwani, wasema wamefurahi kuona tabasamu lake, Zitto Kabwe amwandikia waraka mzito, Sakata la Makinikia: Wamebana wameachia, Barrick waonyesha uungwana, walipa sh. bilioni 700/-, JPM ataka fedha hizo zikatumike kwenye miradi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 20, 2017. Tazama video

Mesut Ozil kutimkia Manchester United
Heather Watson na Naomi Brady watupwa nje Luxembourg Open